إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ٧٧
Inna fī dhālika la'āyatal lil-mu'minīn
Hakika katika hayo ipo ishara kwa Waumini. 77
Maelezo ya chini
77 Kwa kuwa mabaki yake yapo kwenye njia iliyo wazi ni dalili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kutimiza onyo lake, na Waumini wenye kut'ii Haki wanatambua hayo.