Surat Al-Hijr, aya 72

15:72

لَعَمۡرُكَ إِنَّهُمۡ لَفِي سَكۡرَتِهِمۡ يَعۡمَهُونَ ٧٢

La'amruka innahum lafī sakratihim ya'mahūn

Naapa kwa umri wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo. 72

Maelezo ya chini

72 Ewe Nabii Muaminifu! Naapa kwa haki ya uhai wako! Hawa wamo katika mghafala, hawajui yatakayo wateremkia. Wamekuwa kama walio lewa! Hakika wao wamo katika upotovu, wanatapatapa, hawajui wapite wapi.