قَالَ هَٰٓؤُلَآءِ بَنَاتِيٓ إِن كُنتُمۡ فَٰعِلِينَ ٧١
Qāla hā'ulā'i banātī in kuntum fā'ilīn
Akasema: Hawa binti zangu, ikiwa nyinyi ni watendaji. 71
Maelezo ya chini
71 Ili kuwanabihisha njia ya maumbile ya kisharia, Nabii wa Mwenyezi Mungu Luut'i akasema: Hawa mabinti wa mji huu, nao ni binti zangu, waoeni ikiwa mnataka kukidhi matamanio yenu.