فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلصَّيۡحَةُ مُشۡرِقِينَ ٧٣
Fa akhadhathumus-sayhatu mushriqīn
Ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa. 73
Maelezo ya chini
73 Na walipo kuwa wao wamo katika ulevi wao wa mghafala nyoyo zao na akili zao zikachotwa na ukelele mkali mno wa kutisha, wakati jua lilipo chomoza.