Surat Al-Furqan, aya 51

25:51

وَلَوۡ شِئۡنَا لَبَعَثۡنَا فِي كُلِّ قَرۡيَةٖ نَّذِيرٗا ٥١

Walaw shi'nā laba'athnā fī kulli qaryatin nadhīrā

Na tungeli taka tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji. 51

Maelezo ya chini

51 Na lau kuwa tumetaka basi tungeli mpeleka mwonyaji kwenye kila mji. Basi jitahidi na wito wako; na wacha maneno ya makafiri; na tupilia mbali wanayo yaleta.