Surat Al-Furqan, aya 52

25:52

فَلَا تُطِعِ ٱلۡكَٰفِرِينَ وَجَٰهِدۡهُم بِهِۦ جِهَادٗا كَبِيرٗا ٥٢

Falā tuti'il-kāfirīna wajāhidhum bihī jihādan kabīrā

Basi usiwat'ii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa. 52

Maelezo ya chini

52 Na endelea na kulingania kwako kwa Haki, na kufikisha Ujumbe wa Mola wako Mlezi. Na wao wakiupinga wito wako, na wakawavamia Waumini basi wapige vita, na kwa hayo pigana Jihadi kubwa.