Surat Al-Buruj, aya 6

85:6

إِذۡ هُمۡ عَلَيۡهَا قُعُودٞ ٦

Idh hum 'alayhā qu'ūd

Walipo kuwa wamekaa hapo! 6

Maelezo ya chini

6 Na wao wamekaa ukingoni mwake wakishuhudia mateso yanayo wapata Waumini.