Surat Al-Buruj, aya 20

85:20

وَٱللَّهُ مِن وَرَآئِهِم مُّحِيطُۢ ٢٠

Wallāhu min warā'ihim muhīt

Na Mwenyezi Mungu nyuma yao amewazunguka. 20

Maelezo ya chini

20 Na Mwenyezi Mungu anawaweza hao, na anawajua vilivyo.