Surat Al-Buruj, aya 21

85:21

بَلۡ هُوَ قُرۡءَانٞ مَّجِيدٞ ٢١

Bal huwa qur'ānum majīd

Bali hii ni Qur'ani tukufu 21

Maelezo ya chini

21 Bali hii ulio waletea ni Qur'ani tukufu inadhihirisha hoja za ukweli wako.