Surat Al-Buruj, aya 19

85:19

بَلِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فِي تَكۡذِيبٖ ١٩

Balil-ladhīna kafarū fī takdhīb

Lakini walio kufuru wamo katika kukadhibisha. 19

Maelezo ya chini

19 Bali hao makafiri katika kaumu yako ni shadidi zaidi katika kukukadhibisha kuliko hawa walivyo wakadhibisha Mitume wao.