Surat Al-Buruj, aya 17

85:17

هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلۡجُنُودِ ١٧

Hal atāka hadīthul-junūd

Je! Zimekuwasilia khabari za majeshi? 17

Maelezo ya chini

17 Je! Imekujia, ewe Muhammad, hadithi ya kile kikundi kilicho a'si katika mataifa yaliyo kwisha pita?