Surat Al-Buruj, aya 16

85:16

فَعَّالٞ لِّمَا يُرِيدُ ١٦

Fa''ālul limā yurīd

Atendaye ayatakayo. 16

Maelezo ya chini

16 Ni Mtendaji kwa alitakalo, na hendi kinyume na uweza wake yeyote anaye taka.