Surat Al-Balad, aya 7

90:7

أَيَحۡسَبُ أَن لَّمۡ يَرَهُۥٓ أَحَدٌ ٧

Ayahsabu al lam yarahū ahad

Ati anadhani ya kuwa hapana yeyote anaye mwona? 7

Maelezo ya chini

7 Ati anadhani kwamba mambo yake hayo yamefichikana, hayajui yeyote hata huyo aliye muumba?