Surat Al-Balad, aya 8

90:8

أَلَمۡ نَجۡعَل لَّهُۥ عَيۡنَيۡنِ ٨

Alam naj'al lahū 'aynayn

Kwani hatukumpa macho mawili? 8

Maelezo ya chini

8 Kwani Sisi hatukumuumba na macho mawili ya kutazamia,?