يَقُولُ أَهۡلَكۡتُ مَالٗا لُّبَدًا ٦
Yaqūlu ahlaktu mālal lubadā
Anasema: Nimeteketeza chungu ya mali. 6
Maelezo ya chini
6 Anasema: Nimetumia katika kupambana na Muhammad s.a.w. na kuupinga wito wake mali mengi ukiyakusanya pamoja.