أَيَحۡسَبُ أَن لَّن يَقۡدِرَ عَلَيۡهِ أَحَدٞ ٥
Ayahsabu al lan yaqdira 'alayhi ahad
Ati anadhani hapana yeyote ataye muweza? 5
Maelezo ya chini
5 Je! Anadhani mtu aliye umbwa katika mashaka haya kuwa hapana awezae kumdhalilisha?