لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِي كَبَدٍ ٤
Laqad khalaqnal-insāna fī kabad
Hakika tumemuumba mtu katika taabu. 4
Maelezo ya chini
4 Hakika Sisi tumemuumba mtu katika mashaka na taabu tangu mwanzo wake mpaka kumalizika mambo yake.