وَوَالِدٖ وَمَا وَلَدَ ٣
Wawālidin wamā walad
Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa. 3
Maelezo ya chini
3 Na naapa kwa mzazi na anacho kizaa, na kwa hao wawili ndio jinsi inahifadhika na maendeleo yanabakia.
وَوَالِدٖ وَمَا وَلَدَ ٣
Wawālidin wamā walad
Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa. 3
3 Na naapa kwa mzazi na anacho kizaa, na kwa hao wawili ndio jinsi inahifadhika na maendeleo yanabakia.