فَلَا ٱقۡتَحَمَ ٱلۡعَقَبَةَ ١١
Falaqtahamal-'aqabah
Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani. 11
Maelezo ya chini
11 Basi huyo hakunafiika kwa tuliyo mtengenezea, wala hakuivuka njia ya milimani inayo mzuia asifikie uwokovu, nayo ni choyo wa nafsi yake.