خُذِ ٱلۡعَفۡوَ وَأۡمُرۡ بِٱلۡعُرۡفِ وَأَعۡرِضۡ عَنِ ٱلۡجَٰهِلِينَ ١٩٩
Khudhil-'afwa wa mur bil-'urfi wa a'rid 'anil-jāhilīn
Shikamana na kusamehe, na amrisha mema, na jitenge na majaahili. 199
Maelezo ya chini
199 Ewe Nabii! Waachilie mbali hao majaahili, na endelea katika njia ya Da'wa (Wito). Na wachukulie watu kwa lilio wepesi kwao. Na waamrishe kila jambo linalo pendeza na kuingia akilini.