وَإِن تَدۡعُوهُمۡ إِلَى ٱلۡهُدَىٰ لَا يَسۡمَعُواْۖ وَتَرَىٰهُمۡ يَنظُرُونَ إِلَيۡكَ وَهُمۡ لَا يُبۡصِرُونَ ١٩٨
Wa in tad'ūhum ilal-hudā lā yasma'ū watarāhum yanzurūna ilayka wahum lā yubsirūn
Na mkiwaita kwenye uwongofu hawasikii. Na unawaona wanakutazama, nao hawaoni. 198
Maelezo ya chini
198 Na ukiwataka uwongofu katika yaliyo na kheri nanyi hawalisikii ombi lenu, licha ya kukuongozeni! Unawaona wanavyo kukabili kama kwamba wanakutazama, na kumbe wao kwa hakika hawaoni kitu!