وَٱلۡأٓخِرَةُ خَيۡرٞ وَأَبۡقَىٰٓ ١٧
Wal-ākhiratu khayrun wa abqā
Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi. 17
Maelezo ya chini
17 Na Akhera ni bora kuliko dunia, kwa usafi wa neema zake, na ni yenye kubaki na kudumu zaidi.