Surat Adh-Dhariyat, aya 10

51:10

قُتِلَ ٱلۡخَرَّٰصُونَ ١٠

Qutilal-kharrāsūn

Wazushi wameangamizwa. 10

Maelezo ya chini

10 Wameteketea waongo wanao sema katika khabari za Kiyama kuwa ni mambo ya dhana na kukisia tu, ambao kwamba wamezamishwa katika ujinga, wameghafilika na dalili za yakini.