Surat Adh-Dhariyat, aya 9

51:9

يُؤۡفَكُ عَنۡهُ مَنۡ أُفِكَ ٩

Yu'faku 'anhu man ufik

Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa. 9

Maelezo ya chini

9 Huacha kuamini hiyo ahadi ya kweli na malipo yatakayo kuwa huyo anaye acha, kwa sababu amekhiari kufuata pumbao la nafsi yake kuliko akili yake.