ٱلَّذِينَ هُمۡ فِي غَمۡرَةٖ سَاهُونَ ١١
Alladhīna hum fī ghamratin sāhūn
Ambao wameghafilika katika ujinga. 11
Maelezo ya chini
11 Ambao kwamba wamezamishwa katika ujinga, wameghafilika na dalili za yakini.
ٱلَّذِينَ هُمۡ فِي غَمۡرَةٖ سَاهُونَ ١١
Alladhīna hum fī ghamratin sāhūn
Ambao wameghafilika katika ujinga. 11
11 Ambao kwamba wamezamishwa katika ujinga, wameghafilika na dalili za yakini.