إِنَّ هَٰذَا مَا كُنتُم بِهِۦ تَمۡتَرُونَ ٥٠
Inna hādhā mā kuntum bihī tamtarūn
Hakika haya ndiyo mliyo kuwa mkiyatilia shaka. 50
Maelezo ya chini
50 Hapana shaka hii adhabu mnayo ipata ni kweli yenye kuwa, na ndiyo mliyo kuwa mkiibisha duniani, na mkiitilia shaka kuwa haiwi.