ذُقۡ إِنَّكَ أَنتَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡكَرِيمُ ٤٩
Dhuq innaka antal-'azīzul-karīm
Onja! Ati wewe ndiye mwenye nguvu, mtukufu! 49
Maelezo ya chini
49 Ataambiwa kwa kejeli na maskhara: Onja hii adhabu kali, kwani ati wewe si ndiye mtukufu mwenye nguvu katika kaumu yako, ndiye mheshimiwa unavyo jiona mwenyewe!