Surat Ad-Dukhan, aya 46

44:46

كَغَلۡيِ ٱلۡحَمِيمِ ٤٦

Kaghalyil-hamīm

Kama kutokota kwa maji ya moto. 46

Maelezo ya chini

46 Utamu wake kama maadeni iliyo yayushwa kwa moto, inatokota matumboni kama yanavyo tokota maji yanayo chemshwa.