Surat Ad-Dukhan, aya 45

44:45

كَٱلۡمُهۡلِ يَغۡلِي فِي ٱلۡبُطُونِ ٤٥

Kal-muhli yaghlī fil-butūn

Kama shaba iliyo yayushwa, hutokota matumboni 45

Maelezo ya chini

45 Utamu wake kama maadeni iliyo yayushwa kwa moto, inatokota matumboni kama yanavyo tokota maji yanayo chemshwa.