Surat Ad-Dukhan, aya 47

44:47

خُذُوهُ فَٱعۡتِلُوهُ إِلَىٰ سَوَآءِ ٱلۡجَحِيمِ ٤٧

Khudhūhu fa'tilūhu ilā sawā'il-jahīm

(Itasemwa:) Mkamateni na mtupeni katikati ya Jahannamu! 47

Maelezo ya chini

47 Enyi Mazabania wa Jahannamu (Walinzi wa Motoni)! Mkamateni huyu mkosefu, mwenye dhambi, mumtokomeze kwa nguvu na ukali mpaka katikati ya Jahannamu!