Surat Ad-Dukhan, aya 12

44:12

رَّبَّنَا ٱكۡشِفۡ عَنَّا ٱلۡعَذَابَ إِنَّا مُؤۡمِنُونَ ١٢

Rrabbanakshif 'annal-'adhāba innā mu'minūn

Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini. 12

Maelezo ya chini

12 Kama pia watavyo sema kwa kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu: Hakika sisi tutaamini ukituondolea adhabu ya njaa na dhiki.