Surat Ad-Dukhan, aya 11

44:11

يَغۡشَى ٱلنَّاسَۖ هَٰذَا عَذَابٌ أَلِيمٞ ١١

Yaghshan-nāsa hādhā 'adhābun alīm

Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu! 11

Maelezo ya chini

11 Moshi huu utawazunguka wale wanao kadhibisha walio sibiwa na ukame, watasema kwa wingi wa kitisho: Hii ni adhabu kali na chungu!