Surat Ad-Dukhan, aya 13

44:13

أَنَّىٰ لَهُمُ ٱلذِّكۡرَىٰ وَقَدۡ جَآءَهُمۡ رَسُولٞ مُّبِينٞ ١٣

Annā lahumudh-dhikrā waqad jā'ahum rasūlum mubīn

Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha. 13

Maelezo ya chini

13 Watu hawa watawaidhika vipi, hata watimize hiyo Imani wanayo iahidi wakiondolewa adhabu, na hali Mtume mwenye ujumbe ulio wazi kesha wajia na miujiza yenye kuonyesha ukweli wake, na hayo ndiyo mawaidha makubwa kabisa?