Surat 'Abasa, aya 2

80:2

أَن جَآءَهُ ٱلۡأَعۡمَىٰ ٢

An jā'ahul-a'mā

Kwa sababu alimjia kipofu! 2

Maelezo ya chini

2 Kwa sababu kamjia kipofu anamuuliza khabari ya Dini yake.