وَمَا يُدۡرِيكَ لَعَلَّهُۥ يَزَّكَّىٰٓ ٣
Wamā yudrīka la'allahū yazzakkā
Na nini kitakujuulisha pengine yeye atatakasika? 3
Maelezo ya chini
3 Na wewe unajuaje, pengine huyo kipofu atatakasika kwa atayo yapata kwako,