وَمَآ أَكۡثَرُ ٱلنَّاسِ وَلَوۡ حَرَصۡتَ بِمُؤۡمِنِينَ ١٠٣
Wamā aktharun-nāsi walaw harasta bimu'minīn
Na wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi. 103
Maelezo ya chini
103 Na wapo wengi ambao tabia zao zina maradhi zinazo wazuia wasisadiki haya unayo funuliwa, hata moyo wako ukiwa una shauku namna gani waamini, au nafsi yako ikafanya juhudi gani waongoke.