هُوَ يُحۡيِۦ وَيُمِيتُ وَإِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ ٥٦
Huwa yuhyī wayumītu wa ilayhi turja'ūn
Yeye ndiye anaye fufua na anaye fisha. Na kwake mtarejeshwa 56
Maelezo ya chini
56 Na Mwenyezi Mungu Subhanahu anavihuisha vitu baada ya kuwa havipo, na anaviondoa baada ya kuwapo. Na kwake Yeye tu ndio marejeo katika Akhera. Na mwenye kuwa hivyo hapana kuu la kumshinda.