مَا يَنظُرُونَ إِلَّا صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ تَأۡخُذُهُمۡ وَهُمۡ يَخِصِّمُونَ ٤٩
Mā yanzurūna illā sayhatan wāhidatan ta'khudhuhum wahum yakhissimūn
Hawangojei ila ukelele mmoja tu utakao wachukua nao wamo kuzozana. 49
Maelezo ya chini
49 Hawangojei ila sauti moja tu, iwamalize kwa ghafla, nao wakizozana katika mambo ya kidunia, wameghafilika na Akhera.