Surat Yasin, aya 50

36:50

فَلَا يَسۡتَطِيعُونَ تَوۡصِيَةٗ وَلَآ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِمۡ يَرۡجِعُونَ ٥٠

Falā yastatī'ūna tawsiyatan walā ilā ahlihim yarji'ūn

Basi hawataweza kuusia, wala kwa watu wao hawarejei. 50

Maelezo ya chini

50 Kwa upesi wa hayo yatakayo wateremkia, hawatowahi kuusia chochote, wala kurejea kwa ahali zao.