Ud'uni astajib lakum

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

وَقَالَ رَبُّكُمُ ٱدۡعُونِيٓ أَسۡتَجِبۡ لَكُمۡۚ إِنَّ ٱلَّذِينَ يَسۡتَكۡبِرُونَ عَنۡ عِبَادَتِي سَيَدۡخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ ٦٠

Waqāla rabbukumud'ūnī astajib lakum innal-ladhīna yastakbirūna 'an 'ibādatī sayadkhulūna jahannama dākhirīn

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Ghafir yote

Maswali

Ud'uni astajib lakum iko wapi katika Qur'ani?

Ud'uni astajib lakum iko katika Surat Ghafir, 40:60.