Surat Saba, aya 52

34:52

وَقَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِهِۦ وَأَنَّىٰ لَهُمُ ٱلتَّنَاوُشُ مِن مَّكَانِۭ بَعِيدٖ ٥٢

Waqālū āmannā bihī wa annā lahumut-tanāwushu mim makāni ba'īd

Na watasema: Tunaiamini! Lakini wataipata wapi kutoka huko mahala mbali? 52

Maelezo ya chini

52 Na watasema, watapo iona adhabu: Tunaiamini Haki! Na vipi wao waipate Imani kwa wepesi huo kutoka pahala mbali na dunia ambayo wakati wake umekwisha pita?