Surat Qaf, aya 34

50:34

ٱدۡخُلُوهَا بِسَلَٰمٖۖ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡخُلُودِ ٣٤

Udkhulūhā bisalāmin dhālika yawmul-khulūd

(Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya daima dawamu. 34

Maelezo ya chini

34 Itasemwa kwa hishima yao: Ingieni Peponi kwa amani. Hiyo siku mtakapo ingia Peponi ndiyo siku ya kubakia milele isiyo na mwisho.