Surat Qaf, aya 35

50:35

لَهُم مَّا يَشَآءُونَ فِيهَا وَلَدَيۡنَا مَزِيدٞ ٣٥

Lahum mā yashā'ūna fīhā waladaynā mazīd

Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada. 35

Maelezo ya chini

35 Hao wachamngu watapata kila wakitakacho huko Peponi. Na Sisi tunazo neema za kuzidi kuliko yanayo mpitikia mtu kuyawaza.