أَلۡقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٖ ٢٤
Alqiyā fī jahannama kulla kaffārin 'anīd
Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inda, 24
Maelezo ya chini
24 Malaika wawili wataambiwa: Watieni katika Jahannamu kila aliye pita mipaka kwa ukafiri, na aliye pita mipaka kwa inadi, na akaacha kuifuata Haki,