وَقَالَ قَرِينُهُۥ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتِيدٌ ٢٣
Waqāla qarīnuhū hādhā mā ladayya 'atīd
Na mwenzake atasema: Huyu niliye naye mimi kesha tayarishwa. 23
Maelezo ya chini
23 Na Shetani wake aliye kuwa mwongozi wake duniani, atasema: Kafiri huyu alioko kwangu yuko tayari kuingia Jahannamu kwa kupotezwa nami.