Surat Qaf, aya 25

50:25

مَّنَّاعٖ لِّلۡخَيۡرِ مُعۡتَدٖ مُّرِيبٍ ٢٥

Mmannā'il lil-khayri mu'tadim murīb

Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka, 25

Maelezo ya chini

25 Na akapita mipaka kuzuia kheri, mwenye kudhulumu akaipindukia Haki, mwenye kumtilia shaka Mwenyezi Mungu Mtukufu na aliyo yateremsha.