Surat Nuh, aya 9

71:9

ثُمَّ إِنِّيٓ أَعۡلَنتُ لَهُمۡ وَأَسۡرَرۡتُ لَهُمۡ إِسۡرَارٗا ٩

Thumma innī a'lantu lahum wa asrartu lahum isrārā

Kisha nikawatangazia kwa kelele, tena nikasema nao kwa siri. 9

Maelezo ya chini

9 kisha nikaudhihirisha wito kwa namna moja, na nikawaita kisirisiri kwa namna nyengine, ili nijaribu kila njia.