Surat Nuh, aya 8

71:8

ثُمَّ إِنِّي دَعَوۡتُهُمۡ جِهَارٗا ٨

Thumma innī da'awtuhum jihārā

Tena niliwaita kwa uwazi! 8

Maelezo ya chini

8 Kisha nikawaita waje kwako kwa sauti ya juu,