وَقَدۡ أَضَلُّواْ كَثِيرٗاۖ وَلَا تَزِدِ ٱلظَّٰلِمِينَ إِلَّا ضَلَٰلٗا ٢٤
Waqad adallū kathīran walā tazidiz-zālimīna illā dalālā
Na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea. 24
Maelezo ya chini
24 Na miungu hii iliwapoteza watu wengi. Na wala huwazidishii wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa ukafiri na inda, ili kuzidi kubaidika na Haki.