Surat Nuh, aya 16

71:16

وَجَعَلَ ٱلۡقَمَرَ فِيهِنَّ نُورٗا وَجَعَلَ ٱلشَّمۡسَ سِرَاجٗا ١٦

Waja'alal-qamara fīhinna nūran waja'alash-shamsa sirājā

Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa? 16

Maelezo ya chini

16 Na akaufanya mwezi katika mbingu hizo unatoa nuru, na akalifanya jua ni taa ambayo kwayo watu wa duniani ndio wanaona kwa mwangaza wake yote wanayo hitajia kuyaona?